Askofu ataka jamii ishirikiane kutokomeza chanzo cha watoto wa mitaani
Geita. Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kasala amesisitiza umuhimu wa jamii kuendelea kushirikiana katika kujiepusha na kuzuia vyanzo vinavyosababisha ongezeko la watoto wanaoishi katika mazingira magumu ambao hukosa msaada na hatimaye kutapakaa mitaani. Ametoa wito huo katika hafla ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) iliyokuwa inatoa msaada wa Sh50 milioni katika…