RC SENDIGA APINGA TAKWIMU ZA DAWA MANYARA

Na Mwandishi Wetu, Manyara. MKUU wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, amepinga takwimu zinazoonesha kuwa upatikanaji wa huduma za dawa mkoani humo umefikia asilimia 93, akisema kuwa takwimu hizo haziakisi uhalisia wa hali iliyopo kutokana na wingi wa malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu ukosefu wa dawa na huduma muhimu za afya. Sendiga ametoa kauli…

Read More

ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 435 ZATOLEWA KWA WAKULIMA

::::::: BENKI ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa zaidi ya shilingi bilioni 435 kama mikopo kwa wakulima nchini, hatua iliyochochea maendeleo ya sekta ya kilimo na uzalishaji. Mikopo hiyo imewezesha kufadhili jumla ya miradi 250, ikiwahusisha wakulima zaidi ya 203,000 kutoka mikoa mbalimbali nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu mwenendo wa benki hiyo kwa kipindi…

Read More

TISEZA YAHAMASISHA MIUNDOMBINU BORA KAMA KICHOCHEO KIKUU CHA KUVUTIA NA KULINDA UWEKEZAJI

Viongozi kutoka Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) wakitembelea shule ya msingi Savannah iliyopo katika Manispaa ya ShinyangaMeneja wa Uhamasishaji Uwekezaji wa Ndani kutoka TISEZA, Felix John akizungumza baada ya kutembelea uwekezaji katika sekta ya elimu Shule ya Msingi na Sekondari Savannah Manispaa ya Shinyanga. Na Mwandishi wetu _ Malunde 1…

Read More

Wakulima 90,000 Mbeya wanufaika na mbolea ya ruzuku

Mbeya. Zaidi ya wakulima 91,126 kutoka Wilaya ya Mbeya wamenufaika na mbolea ya ruzuku tani 13,140 baada ya kusajiliwa kwenye mfumo rasmi wa Serikali. Idadi hiyo imehusisha wanawake 44,117 na wanaume 46,951 ambao walisajiliwa kati ya Oktoba 2025 na Januari 2026. Hatua hiyo imekwenda sambamba na Serikali kutaka maofisa kilimo kutoa elimu kwa wakulima kuhusiana…

Read More