Upendo hauna kikomo, chunga mipaka

Dar es Salaam. Swali la kama binadamu ana ukomo wa kupenda limekuwa likijitokeza katika tafsiri za kihisia.  Je, mapenzi ni hisia zisizo na kikomo, au kuna kipimo kinachoamua ni mara ngapi na kwa kina kiasi gani mtu anaweza kumpenda mwingine? Wanasayansi wa tabia za kibinadamu na waandishi wa uhusiano wanasema kwamba swali hili ni gumu,…

Read More

Ujumbe kwa kinamama,  hakuna dawa ya mapenzi

Canada. Kwa wenyeji wa mwambao hasa mijini wanajua tutakachoongelea leo. Hii hutokea baada ya kuwa na migogoro katika ndoa. Waathirika wengi  wa uchafu na utapeli huu ni kina mama. Hivyo, tunawaasa kuwa wachunge na wasome hii makala  kwa umakini. Kuna kitu cha kipumbavu, kipuuzi na kitapeli kinachoitwa kuchezewa via vya uzazi. Tunadhani tunaeleweka. Mchezo huu hatari…

Read More

Mke ni ua, mwagilia lichanue

Msemo “Mke ni ua, mwagilia lichanue” una maana kubwa sana katika maisha ya ndoa na familia. Msemo huu hauwezi kupuuziwa kwa urahisi, kwani unagusa moja kwa moja uhusiano wa wanandoa na umuhimu wa mke katika kudumisha furaha, mshikamano, na maendeleo ya familia. Unaashiria kwamba mke si mtu wa kupokezana au kushikilia hadhi yake tu, bali…

Read More

Unafutaje kumbukumbu mbaya maishani mwako?

Dar es Salaam. Vile ulivyo leo  kama vile haiba yako, tabia zako, na namna unavyojitambua, huundwa na mambo mbalimbali ikiwemo urithi, malezi na makuzi, nafasi yako katika familia, mazingira ya nyumbani, pamoja na marafiki unaochangamana nao. Mambo haya yote yana mchango mkubwa katika kujenga hulka ya mtu. Hata hivyo, kwa baadhi ya watu, misingi hiyo…

Read More

Dunga wa CUF akomalia ushindi wa Ashatu Kijaji

Moshi. Haijaisha mpaka imaisha. Ni usemi unaoweza kuutumia kuelezea hatua ya mgombea ubunge Kondoa kwa tiketi ya Chama cha Civic United Front (CUF), Othman Dunga, kukimbilia kortini kupinga ushindi wa Ashatu Kijaji. Katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Oktoba 29, 2025, Kijaji (sasa Waziri wa Maliasili na Utalii) aligombea ubunge kwa tiketi…

Read More

Zigo linalomsubiri Katambi Wizara ya Mambo ya Ndani

Dar es Salaam. Wachambuzi wa masuala ya siasa na sheria nchini wamebainisha mzigo mzito wa majukumu unaomsubiri Waziri mteule wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi, ikiwemo upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa, kukomesha utekaji na kujenga uhusiano mzuri kati ya Jeshi la Polisi na wananchi. Katambi, aliyekuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, aliteuliwa na Rais…

Read More

Nguvu ya agano na Mungu mafanikio ya mwaka mpya

Dar es Salaam. Bwana Yesu asifiwe. Ninaitwa Mwalimu George Mbwambo, karibu katika mahubiri ya siku ya leo yenye kichwa kinachosema. ‘Nguvu ya agano kwa mafanikio ya mwaka mpya’. Tunapoanza mwaka mpya, kila mmoja wetu huwa na matumaini mapya, malengo mapya na ndoto za mafanikio. Wapo wanaotamani mafanikio ya kiroho, kifamilia, kielimu, kiafya au kiuchumi. Hata…

Read More