NECTA YATANGAZA MATOKEO KIDATO CHA PILI, DARASA LA NNE

 ::::::::: Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne ambapo ufaulu umepanda kwa asilimia 2.67 na asilimia 88 ya wanafunzi wamefaulu na kidato cha pili. Matokeo yametangazwa leo Januari 10, 2026 na Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dk Said Mohamed, mbele ya waandishi wa habari jijini Dar…

Read More

Spotlight Initiative inaangazia mafanikio katika kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia – Global Issues

Kiini cha mabadiliko: Spotlight Initiative inaangazia mafanikio katika kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia Linapokuja suala la kuwalinda wanawake na wasichana dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia, mabadiliko hutokea wanapokuwa “kiini cha kila uamuzi,” kulingana na Erin Kenny, Mratibu wa Kimataifa wa Mpango wa Spotlight wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya unaolenga kukabiliana na aina…

Read More

SHULE ZOTE ZA SERIKALI KUFIKIWA NA VITABU KABLA HAZIJAFUNGULIWA

:::::::: MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba amesema, TET imejipanga kuhakikisha shule zote za Serikali zinafikiwa na vitabu kabla hazijafunguliwa.  Dkt. Komba ameyasema hayo leo Januari 10, 2026 alipotembelea ghara la TET la kuhifadhia vitabu vya kiada lililopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Amesema, tayari Serikali imechapa vitabu ya madarasa…

Read More

TRA YAWEKA MIKAKATI YA KUPAMBANA NA WAKWEPA KODI

::::::::::: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itaendelea kupambana na watu wote wanaojihusisha na vitendo vya ukwepaji wa kodi kwa kudhibiti mianya inayotumika kukwepa kodi. Akiahirisha kikao cha tathmini ya utendaji kazi wa TRA kwa kipindi cha nusu mwaka wa fedha 2025/2026 kilichofanyika kwa muda wa wiki…

Read More

Tanzania yamaliza nafasi ya 11, Australia ikitwaa dhahabu ‘mixed relay’

Tanzania imemaliza katika nafasi ya 11 kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika zinazoendelea Tallahassee, Florida nchini Marekani kwa upande wa relay mchanganyiko, huku Australia ikitwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka mshindi. Katika mbio hizo  Tanzania ilikuwa inaundwa na wanariadha Daniel Sinda, Elizabeth Ilanda, Ambrosi Amma na Regina Mpigachai ambapo imemaliza kwa muda…

Read More

Wazabuni wazawa wapewa mbinu kushindani zabuni za kimataifa

Mwanza. Serikali imewataka wazabuni, wakandarasi na watoa huduma wa ndani ya nchi kutekeleza kwa viwango vya juu na ubora miradi ya umma wanayopewa ili iwasaidie kuwajenga, kuwatangaza na kuwapa uwezo wa kuchangamkia na kushindania zabuni za kimataifa ili kukuza biashara na maendeleo ya nchi. Ili kutimiza hilo, wazabuni hao wametakiwa kutumia vyema mafunzo ya kuwajengea…

Read More