Wananchi Geita wasimulia machungu ya Oktoba 29 mbele ya Tume
Geita. Wananchi mkoani Geita walioathiriwa na vurugu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025, wamejitokeza mbele ya Tume ya uchunguzi na kutoa maoni yao. Wakizungumza leo Jumamosi Januari 10, 2026, mbele ya Mjumbe wa Tume hiyo ambaye ameongoza jopo la Tume hiyo kwa Mkoa wa Geita, Balozi Ombeni Sefue, baadhi ya waliofika kutoa ushahidi,…