Dk Mwinyi: Miundombinu ya elimu inakidhi matakwa karne ya 21
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amesema wanajivunia miundombinu ya elimu inayojengwa Zanzibar kwenda sambamba na matakwa ya karne ya sasa ya sayansi na teknolojia. Hivyo, amesema serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya kujifunzia na kufundishia hatua itakayowawezesha wanafunzi kuongeza ufanisi na kufanya vizuri zaidi katika masomo yao. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo…