Simba, Pamba wana jambo lao Mwanza

‎KESHOKUTWA kitawaka katika Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza ambapo mashabiki wa Simba na Pamba Jiji watapomenyana katika mchezo wa kirafiki ikiwa ni sehemu ya kunogesha sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar.‎‎Mchezo huo wenye lengo la kuendeleza umoja, mshikamano na upendo miongoni mwa mashabiki wa Simba na Pamba waliopo katika Mkoa wa Mwanza, utachezwa Jumatatu Januari 12,…

Read More

Rhino Rangers wanaitaka Championship | Mwanaspoti

KUSHINDA mechi zote tatu za First League siyo bahati mbaya kwa maafande wa Rhino Rangers ya Tabora, kwani wamedhamiria kufanya vizuri na kupanda daraja kwenda Ligi ya Championship msimu huu. Rhino Rangers inakamata usukani wa kundi B lenye timu nane za First League, ambapo imevuna pointi tisa katika mechi tatu baada ya kushinda zote, huku…

Read More

Trump atangaza mpango wa mafuta Venezuela

Marekani. Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kauli yake ya kutaka nchi yake ichukue udhibiti wa eneo la Greenland, akisema hatua hiyo ni muhimu kwa maslahi ya usalama wa taifa. Kauli hiyo ameitoa wakati wa mkutano mrefu uliofanyikia Ikulu ya White House na wakuu wa kampuni za mafuta kuhusu uwekezaji nchini Venezuela hapo jana…

Read More

Ukuta wa Singida unavuja, kocha atia neno

SINGIDA Black Stars imeondoshwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku safu yao ya ulinzi ikionekana kutokuwa imara katika kujilinda. Timu hiyo iliyokuwa kundi A na kumaliza nafasi ya pili, hadi inaondoshwa hatua ya nusu fainali kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga, imeruhusu bao kila mechi. Ikiwa imecheza mechi nne, imefunga…

Read More

Nchi tatu kujadili mustakabali uchumi wa buluu Zanzibar

Zanzibar. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa kushirikiana na shirika la Ascending Africa kupitia Mradi wa Jahazi, imetangaza rasmi ujio wa Mkutano wa Kikanda wenye lengo la kukabiliana na uvuvi haramu na kukuza uchumi wa buluu. Mkutano huu wa siku tatu utafanyika kuanzia Januari 26 hadi 28, 2026,…

Read More

Mradi wa Bridge kunufaisha vijana 1,050

Geita. Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, watanufaika na programu ya mafunzo ya ujasiriamali itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi na kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira. Mafunzo hayo yatakayodumu kwa miezi mitatu, yanatolewa kupitia mradi wa Bridge, unaolenga kuwafikia vijana na watu kutoka makundi maalumu 1,050 katika kata 10 za Wilaya ya Geita ifikapo mwaka 2030….

Read More