Wawili Yanga watupwa nje, Mudathir arejea kikosini

JANA usiku Yanga ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya nusu fainali katika Kombe la Mapinduzi 2026 dhidi ya Singida Black Stars, huku taarifa njema zikiwa ni kurejea kwa kiungo Mudathir Yahya. Wakati Mudathir akirejea, viungo wawili wa timu hiyo, Aziz Andabwile na Lassine Kouma ilibidi wapewe mapumziko ya muda kutokana na kuumia katika mechi zilizopita za…

Read More

Bosi Yanga amfuata Okello Uganda

YANGA bado haijakubali matokeo inamtaka kiungo Allan Okello na sasa bosi mmoja wa juu alikuwa nchini Uganda akipambana na saini ya nyota huyo. Okello ni mmoja kati ya wachezaji mahiri kwenye kikosi cha Vipers pamoja na timu ya Taifa ya Uganda, akiwa amefanya vizuri kwenye michuano ya CHAN na Kombe la Mataifa Afrika ambako nchi…

Read More

Simba SC yagomewa kwa winga Malawi

VIONGOZI wa Nyassa Big Bullets ya Malawi wameweka msimamo mkali baada ya kukataa ombi la Simba la kumtaka winga Chikumbutso Salima (21), kwa ajili ya majaribio ya wiki mbili. Hatua hiyo imekuja baada ya Simba kuonyesha nia ya kumuangalia kwa karibu winga huyo chipukizi kabla ya kufanya uamuzi wa kumsajili moja kwa moja katika dirisha…

Read More

Wachezaji watatu Azam watengwa | Mwanaspoti

WAKATI bingwa wa kihistoria wa Kombe la Mapinduzi, Azam FC ikijiandaa kuikabili Yanga katika fainali ya michuano hiyo, kuna nyota watatu wametengwa kwa kupewa programu maalumu. Nyota hao ni Nassor Saadun, Abdul Suleiman ‘Sopu’ na Sadio Kanoute ambao wote wapo katika hatua ya kurudi uwanjani wakitokea kuuguza majeraha. Kocha Florent Ibenge ameamua kuwatenga nyota hao…

Read More