DKT. CHAYA: UWEKEZAJI WA VIWANDA NI NGUZO YA AJIRA, MASOKO YA WAKULIMA NA UCHUMI WA TAIFA

Mkurugenzi Mtendaji wa Jambo Group of Companies, Mhe. Salum Khamis akieleza hatua za uzalishaji pamoja na uwekezaji uliofanyika kiwandani.Mkurugenzi wa Kampuni ya East African Spirits (T) Limited (EASTL), Bw. Gaspar Kileo, akimuongoza Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Mhe. Dkt. Pius Stephen Chaya, kutembelea maeneo mbalimbali ya uzalishaji katika kiwanda…

Read More

Kuondoa Mifumo ya Chakula Kutoka kwa Makubaliano ya Hali ya Hewa Ni Kichocheo cha Maafa – Masuala ya Ulimwenguni

Kilimo ni changamoto na suluhu la mabadiliko ya tabianchi. Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (bulawayo) Ijumaa, Januari 09, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Januari 9 (IPS) – Walipokuwa wakila chakula cha kupimwa, wahawilishi wa COP30 hawakuwa na hamu ya kurekebisha mifumo ya chakula iliyoharibika, chanzo kikubwa cha uchafuzi wa hali ya hewa, wataalam wanaonya. Mifumo…

Read More

Mtoto afa kwa kutumbukia shimoni

Tabora. Mtoto wa miaka mitatu na nusu aitwaye Yasini Sadiki, mkazi wa Kitongoji cha Itetemia, Kata ya Itetemia Manispaa ya Tabora, amefariki dunia baada kutumbukia kwenye shimo lenye maji wakati akicheza na wenzake. Shimo hilo linalodaiwa kumilikiwa na mchungaji mmoja Tabora Mjini ni maalumu kwa ajili ya kuchimbwa mchanga ambao hutumika kwa ujenzi. Akizungumzia tukio…

Read More

Wananchi washauriwa kufanya uchunguzi wa afya zao

Arusha. Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tabia ya kufanya uchunguzi wa afya mara kwa mara ili kujua hali zao kwasababu takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kuwa vifo milioni 17 ambavyo ni sawa na asilimia 32 duniani vinasababishwa na magonjwa ya moyo. Amesema hayo leo…

Read More

Ndugu wa mke waliotaka kumdhulumu shemeji nyumba wafukuzwa

Arusha. Wananchi wa Mtaa wa Mashariki, Kata ya Muriet iliyopo Halmashauri ya Jiji la Arusha, wamefanikiwa kuwaondoa baadhi ya ndugu waliokuwa wakitaka kumfukuza shemeji yao baada ya mkewe kufariki dunia. Michael Mbuya alifiwa na mke wake, Zaiduna Bakari, Desemba 17, 2025 ambaye alizikwa Desemba 20, 2025 jijini Arusha lakini baada ya maziko baadhi ya ndugu…

Read More

‘Nitakuwa tayari kutumia rasimali zangu kukarabati barabara’

Mbeya. Diwani wa kata ya Ruanda jijini Mbeya, Isack Mwakubombaki amesema uongozi wake utakuwa wa kuishirikisha jamii huku, akieleza kuwa atakuwa tayari kutumia rasilimali zake kutatua changamoto za wananchi hususani barabara. Kauli hiyo inakuja kufuatia kilio cha wananchi kulalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara haswa kipindi hiki cha mvua zinazoendelea kunyesha na kuleta athari kwa…

Read More

TEITI YAIMARISHA ELIMU KWA UMMA KUHUSU MANUFAA YA RASILIMALI ZA MADINI NA GESI

  Na.Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imesema imeendelea kuhimiza uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali za nchi, ili kuhakikisha wananchi wananufaika na shughuli za uchimbaji na utafutaji. Akizungumza jijini Dar es salam jana katika mahojiano maalum,Katibu Mtendaji wa TEITI, Bi. Mariam Mgaya,…

Read More

SHIRIKA LA MASOKO YA KARIAKOO, SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA POLISI WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA ULINZI SOKO LA KARIAKOO.

Shirika la Masoko ya Kariakoo limefanya kikao maalum na uongozi wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi ambalo linatoa huduma za ulinzi katika soko la Kariakoo, kikao ambacho kimelenga kujadili namna bora ya kuimarisha ulinzi sokoni hapo. Akiongea katika kikao hicho Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, CPA. Ashraph Abdulkarim amesema…

Read More