Watoto wawili wa familia moja walivyokufa maji

Arusha. Vilio na majonzi vimetanda katika familia ya Joachim Laizer, iliyopoteza watoto wawili kwa wakati mmoja, ambao wamekufa wakiogelea. Abednego (13) na Ebenezer Joachim (9), walizama kwenye kina kirefu cha maji wakiogelea kwenye bwawa la kuogelea. Tukio hilo lilitokea Januari 7, 2026, ndani ya Hoteli ya Kilimanjaro Food, eneo la Sakina, jijini Arusha. Taarifa za…

Read More

Utenguzi wa Simbachawene wageuka gumzo

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene zikiwa zimepita siku 52 tangu alipotangaza baraza jipya la mawaziri, Novemba 17, 2025, suala ambalo licha ya kuwa ndani ya mamlaka ya mteuaji, limeibua gumzo likihusishwa na matukio na kauli zake za hivi karibuni. Simbachawene anakuwa…

Read More

Urejesho wa Asili Hurejesha Haki kwenye Ziwa na Mazingira nchini Brazili: VIDEO – Masuala ya Ulimwenguni

na Mario Osava (niterÓi, brazil) Ijumaa, Januari 09, 2026 Inter Press Service NITERÓI, Brazili, Januari 9 (IPS) – “Tulihama kutoka katika mazingira ya kutengwa kwa kijamii na kimazingira hadi moja ya haki ya kimazingira,” alisema Dionê Castro, mratibu wa Mpango Endelevu wa Kanda ya Bahari ya Bahari ambao uliongoza mradi mkubwa zaidi wa ufumbuzi wa…

Read More

MFUMO WA SIS MWAROBAINI WA UTORO SHULE ZA HANDENI MJI

  Na Mwandishi Wetu Halmashauri ya Mji Handeni imetoa mafunzo maalum ya Mfumo wa Kidigitali wa Taarifa za Shule (School Information System – SIS) kwa Walimu Wakuu wa Shule za Msingi, Wakuu wa Shule za Sekondari pamoja na baadhi ya walimu, huku ikielezwa kuwa mfumo huo utasaidia kuongeza uwajibikaji kwa walimu na kudhibiti tatizo la…

Read More

Mama mdogo adaiwa kumjeruhi mwanaye kisa koti

Moshi. Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanamke mmoja, mkazi wa kiijiji cha Ongoma Kusini, kata ya Uru Kaskazini, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za  kumjeruhi mtoto wa dada yake akidai kumchukulia koti lake na kulivaa. Inadaiwa kuwa Januari 4, 2026  mtoto huyo  wa kiume ambaye ni  wa darasa la tano katika shule moja iliyopo…

Read More

Samia ahimiza uwekezaji hoteli za kitalii

Unguja. Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kufanya uwekezaji mkubwa katika hoteli za kitalii kwa lengo la kuchochea shughuli za utalii na kupanua wigo wa mapato na ajira. Rais Samia ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 9, 2026 wakati akifungua hoteli ya Jaz Elite Aurora, iliyoko Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea sherehe…

Read More