RIPOTI 15 ZA TEITI ZAWEKWA WAZI KUONYESHA MALIPO YA MAKAMPUNI NA MAPATO YA SERIKALI

Na.Mwandishi Wetu-DAR ES SALAAM Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imesema imeendelea kuhimiza uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali za nchi, ili kuhakikisha wananchi wananufaika na shughuli za uchimbaji na utafutaji. Akizungumza jijini Dar es salam jana katika mahojiano maalum,Katibu Mtendaji wa TEITI, Bi. Mariam Mgaya, amesema…

Read More

Venezuela yawaachia huru waandishi, wanaharakati, wapinzani

Venezuela. Serikali ya Venezuela imewaachia huru watu kadhaa waliokuwa kizuizini wakiwamo vigogo wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari sambamba na raia wa ndani na wa kigeni, katika kile ilichokieleza ni hatua ya kutafuta amani. Hata hivyo, hatua hiyo imekuja ikiwa ni wiki moja imepita tangu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro akamatwe na…

Read More

Wafanyakazi wa shamba la maua wagoma, kisa masilahi

Moshi. Mamia ya wafanyakazi wa shamba la maua la Vaso Agro-ventures Ltd, lililopo Kibosho, Wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro wamegoma kufanya kazi, wakishinikiza uongozi kupandisha mshahara kuendana na kima cha chini kilichopangwa na Serikali kwa sekta binafsi. Katika mgomo huo uliofanyika leo, wafanyakazi hao waliondoka maeneo yao ya kazi na kukusanyika eneo moja wakiwa na…

Read More

Matumizi ya pombe yapaa mihadarati ikipungua mtaani

Dar es Salaam. Tanzania imefanikiwa kwa kiwango kikubwa kudhibiti biashara na matumizi ya dawa za kulevya kiasi cha dawa hizo kutotonekana tena kwa uwazi mitaani, hali ambayo imeleta mabadiliko makubwa ya kijamii na kiusalama. Hata hivyo, mafanikio hayo sasa yanaambatana na changamoto mpya ya kuongezeka kwa ulevi wa pombe kupita kiasi, hususan miongoni mwa vijana…

Read More

DK Nchimbi: Maendeleo ya elimu Zanzibar ni tunda la Mapinduzi

Unguja. Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema malengo makuu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yalilenga kuboresha maisha ya wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora za kijamii, malengo ambayo kwa kipindi cha miaka 62 yamefanikiwa kutekelezwa kwa kiwango kikubwa. Dk Nchimbi ametoa kauli hiyo leo Ijuma Januari 9, 2026, wakati akifungua Shule…

Read More

Dk Migiro awatwisha zigo la imani viongozi CCM, Serikali

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Asha-Rose Migiro amewataka viongozi waliopewa dhamana za kuongoza kitaifa kupitia chama hicho, kuhakikisha wanashiriki kila kikao cha CCM ngazi ya mashina yao kujua yanayoelezwa na wananchi. Viongozi waliotajwa na Dk Migiro, ni wa chama hicho ngazi za Taifa na wale wa Serikali ambao ama…

Read More

Kiungo Simba amtaja Fei Toto, Ajibu

KIUNGO wa zamani wa Simba, Azam FC na Taifa Stars, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ amesema ikitokea akapewa nafasi kuchagua nyota wa sasa akapangwa kucheza naye mechi katika timu moja, basi fursa hiyo itwaangukia Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Ibrahim Ajibu. Redondo ni mmoja kati ya wachezaji mahiri ambao waliwika kwenye soka la Tanzania akiwa anatajwa kuwa…

Read More

Wasiorejesha mikopo ya asilimia 10 kukamatwa

Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote waliokopa mikopo ya serikali ya asilimia 10 kupitia makundi maalum ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ambao wameshindwa kurejesha fedha hizo kwa wakati. Ametoa agizo hilo leo Ijumaa Januari 9,2025 wakati wa kikao cha kamati ya ushauri ya…

Read More

Redondo amchagua Fei, Ajibu | Mwanaspoti

KIUNGO wa zamani wa Simba, Azam FC na Taifa Stars, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ amesema ikitokea akapewa nafasi kuchagua nyota wa sasa akapangwa kucheza naye mechi katika timu moja, basi fursa hiyo itwaangukia Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Ibrahim Ajibu. Redondo ni mmoja kati ya wachezaji mahiri ambao waliwika kwenye soka la Tanzania akiwa anatajwa kuwa…

Read More

Barker afichua matatizo ya Simba SC

JANA Alhamisi, Simba ilichapwa bao 1-0 na Azam FC matokeo yaliyohitimisha safari yao katika Kombe la Mapinduzi 2026, lakini huku nyuma kocha mkuu wa kikosi hicho, Steven Robert Barker ametoa kauli nzito akifichua matatizo yaliyopo ndani ya timu hiyo. Siku moja kabla ya mechi hiyo, Barker amesema kucheza dhidi ya Azam FC kwake ni kipimo…

Read More