Mabasi mapya 49 ya Udart kuingizwa barabarani
Dar es Salaam. Mabasi 49 ya usafiri wa haraka maarufu mwendokasi yaliyoingia nchini yameanza kupakuliwa bandarini, huku matarajio yakiwa kuanza kazi ndani ya mwezi huu. Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Uendeshaji wa Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), Gabriel Katanga, amesema hayo leo Ijumaa Januari 9, 2026 alipozungumza na Mwananchi kuhusu hatua iliyofikiwa ya mabasi hayo kuingizwa…