Duchu, Jusa na rekodi Mapinduzi

WAKATI tukisubiri kushuhudia fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 ipigwe Januari 13, 2026 pale Gombani kisiwani Pemba baada ya jana usiku kuchezwa nusu fainali ya pili kati ya Yanga na Singida Black Stars, kuna nyota wawili wameacha rekodi. Nyota hao ni David Kameta ‘Duchu’ na Yussuf Suleiman Haji ‘Jusa’ anayekipiga kwa mabingwa watetezi wa michuano…

Read More

Kaya 400 zaathiriwa na mafuriko Momba, wananchi wakimbia makazi

Songwe. Wananchi wa Kijiji cha Ntinga, wilayani Momba mkoani Songwe, wamelazimika kuyakimbia makazi yao na kutafuta hifadhi katika Shule ya Msingi Msangano kutokana na mafuriko. Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia Januari 8, 2026 katika wilaya za Ileje, Mbozi na Tunduma, zimesababisha maji kuvamia makazi ya watu. Mafuriko hayo yamesababisha zaidi ya nyumba 400 katika…

Read More

Vijana waongoza uwekezaji mpya DSE

Dar es Salaam. Kama ambavyo rika hilo limeshika hatamu katika kila kona, Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) limeeleza kuwa vijana wenye miaka 20 mpaka 39 ndiyo kundi kubwa la wawekezaji wapya katika soko hilo kwa mwaka 2025. Akitoa taarifa ya ufanisi wa DSE kwa mwaka 2025 Afisa Mtendaji Mkuu wa soko hilo,…

Read More

RC Mhita akerwa kusuasua miradi ya Tactics

Shinyanga. Wakazi wa Kata za Ndala, Masekelo, Mwawaza na Mjini katika Manispaa ya Shinyanga wamelalamikia kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Mwawaza inayoelekea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, wakisema unawasababishia usumbufu wanapowapeleka wagonjwa hospitalini. Wakizungumza leo Ijumaa Januari 9, 2026 wakati wa ukaguzi wa ujenzi huo, wakazi wamesema barabara hiyo imekuwa hatarishi, hasa…

Read More

PPP CENTRE YAELIMISHA WADAU KUHUSU MIRADI YA UBIA NCHINI

KITUO cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi ( PPP Centre), kimeendesha mafunzo kwa wafanyabiashara, wawekezaji na maafisa kutoka taasisi za kiserikali katika Halmashauri za Mkoa wa Tanga, kikielimisha juu ya kazi zinazofanywa na kituo hicho. Akizungumza kwenye kikao kazi kilichofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Tanga, kikihusisha makundi hayo, Mkuu wa Kitengo…

Read More

Babu wa miaka 79 kortini akidaiwa kughushi nyaraka

Dar es Salaam. Mfanyabiashara na mkazi wa Ocean Road jijini Dar es Salaam, Sajjad Dawoodbhai (79) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwamo ya kughushi hati ya umiliki wa ardhi na kuwasilisha Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Dawoodbhai amefikishwa mahakamani hapo leo Ijumaa Januari 9, 2026 na kusomewa…

Read More

Misaada inaendelea licha ya hali ngumu ya msimu wa baridi huko Gaza na Ukingo wa Magharibi, UN inasema – Masuala ya Ulimwenguni

Hayo ni kwa mujibu wa Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric, akiwahutubia waandishi wa habari mjini New York siku ya Alhamisi. Akinukuu ofisi ya uratibu wa misaada ya Umoja wa Mataifa, OCHABw. Dujarric alisema timu za misaada ya kibinadamu zinaendelea kusaidia familia zilizo hatarini zaidi huko Gaza “licha ya vikwazo” na ongezeko la athari…

Read More