Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu
Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu – Global Publishers Home Habari Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu
Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu – Global Publishers Home Habari Waziri Kikwete Awatembelea Viongozi Wakuu Wa Kitaifa Wastaafu
Trump Aipa Iran Onyo la Mwisho Kuhusu Waandamanaji – Global Publishers Home Habari Trump Aipa Iran Onyo la Mwisho Kuhusu Waandamanaji
Na Said Mwishehe,Michuzi TV MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imesema Tanzania imefanya kazi kubwa katika kupambana na dawa za kulevya kiasi ambacho kwa sasa mitaani hazipatikani hivyo waliokuwa wanatumia dawa hizo wengi wao wameangukia katika ulevi wa pombe kupita kiasi. Akizungumza leo Januari 9,2026 katika kikao kazi kati ya DCEA…
KOCHA Mkuu wa Bunda Queens, Alley Ibrahim amesema ili kukiongezea nguvu kikosi chao kwenye Ligi Kuu ya Wanawake, watawapandisha wachezaji wao watano kutoka kwenye kituo chao cha kukuza vipaji vya soka (Bunda Queens Program). Timu hiyo Desemba 13, 2025 ilikumbana na adhabu ya kupokonywa pointi tano, kutozwa faini ya Sh5 milioni na mwenyekiti wake kufungiwa…
Meridianbet Kutoa Faraja ya Ziada kwa Wacheza Win&Go – Global Publishers Home Burudani Meridianbet Kutoa Faraja ya Ziada kwa Wacheza Win&Go
Nilipoteza Kila Kitu Ndani ya Muda Mfupi, Hizi Ndio Mbinu Zilizonisaidia Kusimama Tena – Global Publishers Home Habari Nilipoteza Kila Kitu Ndani ya Muda Mfupi, Hizi Ndio Mbinu Zilizonisaidia Kusimama Tena
Katambi Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Makonda Wizara ya Habari – Global Publishers Home Habari Katambi Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Makonda Wizara ya Habari
GEITA Gold ni timu tishio msimu huu kwenye Ligi ya Championship ikiwa kileleni katika mbio za kupanda daraja, lakini licha ya makali yake hayo, uwanja wa nyumbani Nyankumbu umekuwa ukiwapa presha wachezaji na kujikuta wakiangusha alama sita mpaka sasa. Timu hiyo haijapoteza mchezo wowote wa ligi, ikikamata nafasi ya kwanza kwenye msimamo baada ya michezo…
KIUNGO wa Simba aliyekuwa anacheza kwa mkopo Mashujaa, Omary Omary amekamilisha usajili wa mkopo wa miezi sita kuitumikia Mbeya City. Omary ambaye alijiunga na Simba akitokea Mashujaa na baadaye kurudishwa kwa mkopo ameliambia Mwanaspoti kuwa ni kweli amemalizana na City kwa mkopo wa miezi sita anaamini huko atapata wakati mzuri wa kucheza. “Ni kweli namalizia…
OFISA Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), Mohamed Kabwanga, amesema kilichotokea katika maandalizi ya Kombe la Mapinduzi 2026, kimewapa chachu ya kuboresha Ligi Kuu Zanzibar. Kabwanga amesema kutokana na kamati ya maandalizi ya Kombe la Mapinduzi 2026 kupambana kupata wadhamini wengi waliofanikisha zawadi kuongezwa, inatoa chachu kwa ZFF kuboresha zaidi Ligi Kuu…