MAKAMU WA PILI WA RAIS KUZINDUA MASHINDANO MAKUBWA YA QUR’AAN DUNIANI

:::::::: MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mashindano makubwa zaidi ya Qur’aan Tukufu duniani yanayoandaliwa na Taasisi ya Alhikma Foundation. Mashindano hayo yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 kwa mara ya 26 tangu kuanzishwa kwake, yakihusisha washiriki kutoka mataifa mbalimbali duniani. Akizungumza Leo jijini Dar…

Read More

Makonda, Katambi wakabidhiwa wizara, Simbachawene atenguliwa

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali wa Serikali, akifanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri, nafasi za Naibu Mawaziri pamoja na uongozi wa taasisi na uwakilishi wa kidiplomasia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Desemba 8, 2026 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk  Moses Kusiluka katika uteuzi huo, Patrobas…

Read More

Katambi Aagiza Kupunguzwa kwa Urasimu katika Huduma za Biashara

Na Pamela Mollel,Arusha  Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Patrobas Katambi, ameiagiza menejimenti ya Wizara pamoja na taasisi zilizo chini yake kupunguza urasimu usio wa lazima kwa kuimarisha sera, sheria na kuboresha mifumo ya usimamizi wa biashara, ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi. Akizungumza jijini Arusha Januari…

Read More

TEA NA UNICEF WAFUNGUA MILANGO YA MIRADI YA ELIMU ZANZIBAR

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Bw. Khamis Said akifafanua jambo katika kikao kazi maalum cha kujadili utekelezaji wa miradi yaelimu kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA). ************* Zanzibar Katika kuendeleza ushirikiano na wadau wa Sekta ya Elimu nchini, Mamlaka ya ElimuTanzania (TEA) kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF…

Read More

Mahakama za Pakistani Zimewaka Moto – Masuala ya Ulimwenguni

Wanaharakati katika maandamano ya mwili Wangu, chaguo langu. Mkopo: Voicepk.net na Zofeen Ebrahim (karachi, pakistan) Alhamisi, Januari 08, 2026 Inter Press Service KARACHI, Pakistani, Januari 8 (IPS) – Wakati mwaka 2026 unapopambazuka, wanawake nchini Pakistan wanaachwa wakikabiliana na hali halisi: ubakaji na ubakaji katika ndoa unaendelea kutafsiriwa vibaya na majaji katika mahakama za juu zaidi…

Read More