Kwanini watu wanatunza hela ndani, athari zake kiuchumi
Dar es Salaam. Ripoti ya utafiti wa ujumuishi wa kifedha wa Finscope ya mwaka 2023 inaeleza kuwa asilimia 47 ya Watanzania wanaoweka akiba zao kupitia njia zisizokuwa rasmi hutunza hela hizo ndani ya nyumba zao. Hali hiyo inatajwa na wadau wa uchumi kuwa na athari katika uchumi, kwani huondoa kiasi cha pesa kinachopaswa kuwa katika…