Aga Khan yazindua mfumo wa kielektroniki wa kumbukumbu za wagonjwa
Dar es Salaam. Huduma ya Afya ya Aga Khan Tanzania (AKHS, T) imepiga hatua katika safari yake ya mageuzi ya kidijitali baada ya uzinduzi wa mfumo wa kielektroniki wa kumbukumbu za wagonjwa (EHR) katika mtandao wake wa kitaifa wa huduma za afya. Mfumo huo wa Meditech unatarajiwa kurahisisha kazi kwa wataalamu na kuhakikisha wagonjwa wanaohama…