TMA yatoa tahadhari kwa wavuvi, wananchi waishio mabondeni
Mbeya. Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imetoa tahadhari kwa wavuvi na wananchi waishio mabondeni katika kipindi cha msimu wa mvua za wastani na chini ya wastani. Miongoni mwa tahadhari hizo ni pamoja na uwepo wa mafuriko au makazi kuzingirwa maji kufuatia udongo kushiba kwenye maeneo yenye mikondo ya…