Vita vya Sudan Vinakaribia Siku 1,000 Huku Ghasia na Njaa Zinapofikia Viwango Ambavyo Havijawahi Kushuhudiwa – Masuala ya Ulimwenguni

Watoto wawili wenye utapiamlo wanapokea virutubisho vya chakula katika kituo cha afya huko Tawila, Darfur Kaskazini, Sudan. Credit: UNICEF/Mohammed Jamal na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Alhamisi, Januari 08, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Januari 8 (IPS) – Wakati Sudan ikikaribia siku 1,000 za vita vya wenyewe kwa wenyewe, mwishoni mwa Desemba na…

Read More

127 wagundulika kuwa na mabusha Dar

Dar es Salaam. Wanaume 127 kati ya 165 waliofanyiwa uchunguzi  wa mabusha mwezi huu jijini Dar es Salaam wamegundulika kuwa na ugonjwa huo. Hata hivyo 27 kati ya waliogundulika kuwa na mabusha tayari wamefanyiwa upasuaji na wanaendelea vizuri. Akizungumza na waandishi wa habari leo Januari 8, 2026 wakati wa kutangaza kambi ya uchunguzi na ufanyaji…

Read More

Sekta binafsi yataja vikwazo katikati ya ukuaji Zanzibar

Unguja. Licha ya sekta binafsi kukuelezwa kukua, imeeleza changamoto ambazo inazipitia za biashara ikiwemo urasimu na gharama kubwa za usajili wa biashara. Hayo yamebainika jana Jumatano Januari 7, 2025 wakati wa ufunguzi wa  Tamasha la 12 la biashara Zanzibar katika viwanja vya maonyesho Nyamanzi Dimani Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuelekea maadhimisho ya miaka 62…

Read More