Sekta isiyo rasmi inavyogeuka kimbilio kwa wahitimu
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikichukua hatua mbalimbali za kukabiliana na tatizo la ajira nchini, sekta isiyo rasmi imeendelea kuwa nguzo ya uchumi kwa vijana wanaohitimu ngazi mbalimbali za elimu nchini. Serikali na wadau mbalimbali wa masuala ya elimu, ajira na maendeleo wameendelea kutilia mkazo katika mifumo ya elimu huku kipaumbele cha Serikali kikiwekwa katika…