Wachina wa mabilioni wapandishwa kizimbani kwa utakatishaji fedha
Dar es Salaam. Raia wawili wa China waliokamatwa na rundo la fedha ndani ya nyumba wanamoishi, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuongoza genge la uhalifu na utakatishaji fedha zaidi ya Sh2 bilioni. Wachina hao, Weisi Wang (44) mkazi wa Masaki,…