Takukuru yatoa kauli mabilioni ya Wachina, 137 wakamatwa
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam katika operesheni maalumu imekamata raia wawili wa China wanaotuhumiwa kuhusika katika mtandao mkubwa wa uhalifu wa kifedha. Watuhumiwa hao wanajumuishwa kwenye matukio mbalimbali ikiwamo utakatishaji fedha, wizi wa taarifa za kadi za benki na uhujumu uchumi. Hayo…