Ushindi wa Kutisha Unakungoja Ukicheza Trick or Treat Bonanza

WAPENZI wa kasino na michezo ya mtandaoni, mara baada ya kutamatika kwa msimu wa Halloween, Meridianbet imeendelea kukupatia burudani isiyo na kifani kupitia Trick or Treat Bonanza, mchezo ambao unachanganya ladha iliyopita ya Halloween na fursa za ushindi wa kweli. Mchezo huu unakukaribisha kwenye Haunted Candy Realm, ulimwengu wa ajabu uliojaa pipi za kuogofya, vishawishi…

Read More

Kamishna wa Kamisheni ya Polisi Jamii Awasili Mkoani Mwanza leo, kwa ziara ya kikazi, Kufungua mafunzo ya siku moja kwa Maafisa wa Polisi Jamii

KAMISHNA wa Kamisheni ya Polisi Jamii, CP Faustine Shilogile, amewasili mkoani Mwanza leo, Januari 07, 2026, kwa ziara ya kikazi ambapo anatarajiwa kufungua mafunzo ya siku moja kwa Maafisa wa Polisi Jamii kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa. Mafunzo hayo yatahusisha washiriki ambao ni maafisa wa Polisi Jamii kutoka Mikoa ya Mara, Tarime, Rorya, Simiyu,…

Read More

Hatua kwa hatua kukamatwa kwa Maduro, mkewe

Licha ya ripoti na madai yanayoendelea kusambaa kuhusu juhudi za Marekani kumkamata Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, mjadala huo umeibua upya kumbukumbu za operesheni za kijeshi zilizowahi kutekelezwa na taifa hilo katika nyakati tofauti za kisiasa na historia ya dunia. Kinachozitofautisha operesheni hizo si ukubwa wa nguvu za kijeshi zilizotumika pekee, bali pia muda uliotumika…

Read More

KIDULI FC WAAHIDI KUNYAKUA UBINGWA U-20

Na Khadija Kalili ,Kibaha MKURUGENZI wa Kiduli Security Ally Masimike amesema kuwa “awali ya yote anawapongeza wachezaji kwa kucheza mchezo mzuri na suala la kupoteza ni bahati mbaya hivyo wanakwenda kujipanga kuangalia wapi wamekosea ili watakapokuja kucheza katita fainali wanaimani matokeo yatakua mazuri. “Leo tumecheza fainali ya kwanza na kupoteza lakini tunayo nafasi katika mechi…

Read More