Sikia hii ya Edgar William

BAO alilolifunga mshambuliaji wa Dodoma Jiji, Edgar William, juzi katika ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, limemfanya kuweka raekodi ya kuwafunga maafande hao misimu miwili mfululizo, huku akiwa na timu mbili tofauti. Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam, Edgar alifunga bao hilo…

Read More

Waarabu wa Simba waomba sapoti Yanga

SIMBA inacheza nyumbani leo Jumapili dhidi ya Esperance de Tunis, lakini Waarabu wao hao wametua Zanzibar wakifuata mambo mawili ikiwamo Yanga. Mashabiki wa Esperance wametua Dar, kisha wakachukua ndege na kuja Zanzibar kwa lengo la kutalii kidogo kisha baadaye wakasema wangifuata Yanga uwanjani jana. Mashabiki hao wanajua kwamba mashabiki wa Yanga hawatapenda Simba ishinde na…

Read More

Buba amchomoa Conte, amfuata Fadlu

YANGA imemaliza utata baada ya kumuondoa kiungo Moussa Bala Conte akimpisha winga mpya wa timu hiyo, Buba Jammeh aliyekamilisha usajili wake saa chache kabla ya dirisha dogo kufungwa Januari 30, 2026. Usajili wa Buba umefanya Yanga kumtoa kwa mkopo Conte kwenda Raja Casablanca ya Morocco inayofundishwa na kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids. Winga…

Read More

Uwanja wa Afcon wafikia asilimia 30 Zanzibar

Unguja. Wakati maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yakiendelea, ujenzi wa uwanja utakaotumika katika michuano hiyo umefikia asimilia 30 Zanzibar. Uwanja huo unaojengwa Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi na kampuni ya Orkun ya Uturuki, umeanza kujengwa Mei 2025 na unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu kwa awamu ya kwanza kwa gharama…

Read More