SAME YANYAKUA TUZO YA KILIMANJARO AWARD FOR PRO-BUSINESS ENVIRONMENT
:::::::::: Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imepokea tuzo ya uongozi bora wa kukuza na kuwezesha mazingira bora ya Biashara, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika tathmini ya mazingira ya biashara iliyofanyika mkoani humo. Tuzo hiyo, inayojulikana kama Kilimanjaro Award for Pro-Business Environment, imetolewa wakati wa kikao cha Baraza la Biashara la mkoa wa Kilimanjaro…