Petroli na mafuta ya taa bei juu
Dar es Salaam. Watumiaji wa mafuta ya petroli na mafuta ya taa nchini watalazimika kutumia fedha zaidi kupata lita moja ya mafuta baada ya bei kuongezeka, wakati watumiaji wa dizeli wakipata ahueni. Hiyo ni baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli…