Bunge la Venezuela latangaza tume ya kufuatilia suala la Rais Maduro
Bunge la Venezuela latangaza tume ya kufuatilia suala la Rais Maduro – Global Publishers Home Habari Bunge la Venezuela latangaza tume ya kufuatilia suala la Rais Maduro
Bunge la Venezuela latangaza tume ya kufuatilia suala la Rais Maduro – Global Publishers Home Habari Bunge la Venezuela latangaza tume ya kufuatilia suala la Rais Maduro
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, amewataka maafisa wakaguzi na askari wa Jeshi la Polisi wa vyeo mbalimbali kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia misingi ya haki, usawa, weledi na uadilifu, akisisitiza kuwa misingi hiyo ndiyo nguzo ya msingi katika ulinzi wa raia na mali zao pamoja na ustawi wa taifa.Akizungumza katika…
Chelsea yamtangaza Liam Rosenior kuwa kocha mkuu mpya – Global Publishers Home Habari Chelsea yamtangaza Liam Rosenior kuwa kocha mkuu mpya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) iliyotolewa yake majibu ya dharura na mpango wa kupona mapemaakielezea hatua za kipaumbele za kulinda maisha ya kilimo, kurejesha uzalishaji na kuimarisha sekta nzima ya kilimo. Mpango huu unaunganisha usaidizi wa dharura wa haraka na kupona mapema na kujenga uwezo wa kustahimili. Inatanguliza ulinzi wa…
Machado aapa kurudi Venezuela Amshukuru Trump na kutaka uchaguzi huru – Global Publishers Home Habari Machado aapa kurudi Venezuela Amshukuru Trump na kutaka uchaguzi huru
© UNHCR/Jaime Giménez Mtoto wa Venezuela apata faraja katika hafla inayoongozwa na UNHCR huko Lima, Peru. Jumanne, Januari 06, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Mshtuko wa kisiasa wa Venezuela umezidisha umakini wa kimataifa kwa nchi ambayo tayari inakabiliwa na moja ya machafuko makubwa zaidi ya kibinadamu na uhamishaji makazi. Kwa Umoja wa Mataifa, kipaumbele…
YANGA imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya TRA United katika mechi ya kuhitimisha hatua ya makundi ya Kombe la Mapinduzi 2026. Mechi hiyo iliyochezwa leo Januari 6, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, bao la ushindi lilifungwa na Celestine Ecua dakika ya 31 akiitumia vizuri pasi ya Maxi Nzengeli. Katika mechi…
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timontheo Mnzava, amewataka madiwani na wenyeviti wa vijiji kushirikiana kwa karibu katika kutatua migogoro ya ardhi ili kulifanya jimbo hilo kuwa mfano wa matumizi sahihi ya ardhi na kuimarisha amani kwa wananchi. Mbunge Mnzava ametoa wito huo wakati akiendelea na ziara zake za kukutana na makundi mbalimbali…
Hatua hiyo ya Marekani ilifanya “Mataifa yote kutokuwa salama duniani kote”, alisema Ravina Shamdasani, msemaji wa Kamishna Mkuu. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, Bi. Shamdasani alikataa uhalali wa Marekani kuingilia kati kwa misingi ya rekodi ya haki za binadamu “ya muda mrefu na ya kutisha” ya Serikali ya Venezuela. “Uwajibikaji kwa ukiukaji wa…
Dodoma. Katika hatua inayotajwa kuwa mwanga mpya kwa vijana wanaokabiliwa na changamoto za afya ya akili, Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimezindua mradi wa TevuAfya, unaolenga kushughulikia kwa vitendo matatizo ya afya ya akili miongoni mwa vijana, hususan wanaoishi mijini na pembezoni mwa miji. Akizungumza leo Jumanne, Januari 6, 2026, wakati wa uzinduzi wa mradi…