Shahidi aeleza mashine zilivyokutwa yadi kesi ya mafuta TPA
Dar es Salaam. Shahidi wa tano wa upande wa Jamhuri katika kesi ya wizi wa mafuta na uharibifu wa bomba la mafuta, ameieleza mahakama kuwa alikuta mashine mbili za kuchimbia mafuta aina ya Honda ndani ya yadi iliyodaiwa kuhusishwa na gari lililotiliwa shaka na polisi. Shahidi huyo, Mrakibu wa Polisi Godfrey Lumbage, ameieleza Mahakama ya…