Zanzibar yazindua flyover ya kwanza Mwanakwerekwe

Unguja. Zanzibar imeandika historia mpya ya maendeleo baada ya kuzindua rasmi barabara ya juu (flyover) Mwanakwerekwe, mradi ambao ni ishara ya mafanikio ya kimaendeleo katika miaka 62 tangu Mapinduzi Matukufu. Ujenzi wa flyover ni sehemu ya mfululizo wa miradi ya kisasa inayolenga kuboresha miundombinu ya usafiri, biashara na huduma za kijamii kisiwani humo. Flyover hiyo…

Read More

Siku ya Ushindi na Meridianbet Imefika

JE unajua kuwa siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri jamvi lako na Meridianbet?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti leo. EPL itaendelea kwa mechi moja ambapo West Ham United atakipiga dhidi ya Nottingham Forest ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 4 pekee, huku…

Read More

Dida, Suluhu wavunjiwa mikataba Geita Gold

UONGOZI wa Geita Gold umevunja mkataba na wachezaji wawili kipa Deogratius Munishi ‘Dida’ na beki Fredy Juma Sululu baada ya kucheza mechi ya dhidi ya Ken Gold iliyomalizika kwa sare ya mabao 2-2 uwanjani Nyankumbu, Geita. Katika mechi 13 Dida staa wa zamani wa Simba, Yanga, Azam na Taifa Stars alidaka 12 na kuikosa waliyocheza…

Read More

Mwaka Mpya, Zawadi Mpya Kutoka Aviator Ya Meridianbet

MERIDIANBET imeanza mwaka wa 2026 kwa kishindo kikubwa cha kuthamini wateja wake kwa kuanzisha kampeni maalum inayochanganya burudani na zawadi halisi. Kupitia jukwaa lake la michezo ya kidijitali, kampuni hiyo inaendeleza mkakati wake wa kuwapa watumiaji thamani zaidi kila wanaposhiriki katika michezo inayopatikana ndani ya mfumo wake. Katika kampeni hii mpya, mchezo maarufu wa Aviator…

Read More

Wananchi Arusha watoa dukuduku kwa tume Jaji Chande

Arusha. Wananchi wa Mkoa wa Arusha wameitaka Tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuhakikisha mapendekezo itakayowasilisha yanagusa kwa kina suala la mabadiliko ya Katiba. Wamesema mabadiliko ya Katiba ndio chanzo kikuu cha malalamiko na machungu yaliyoibuka na kusababisha vurugu za Oktoba 29, 2025 baada ya kukosekana…

Read More

Fursa Zilizopotea za Kukomesha Kupanda kwa Matumizi ya Kijeshi – Masuala ya Ulimwenguni

Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa mwezi uliopita, inataka kurekebishwa upya kwa mikakati ya usalama na maendeleo ya kimataifa, kutanguliza diplomasia na ushirikiano wa kimataifa ili kubadili mwelekeo wa sasa wa kuongezeka kwa matumizi ya kijeshi. Credit: UNDP Maoni na Alice Slater (new york) Jumanne, Januari 06, 2026 Inter Press Service Alice Slater anahudumu katika…

Read More