Fufuni yahamishia hasira Ligi Kuu Zanzibar
WAHENGA wanasema kuvunjika kwa Koleo si mwisho wa uhunzi. Msemo huo ameondoka nao Kocha Mkuu wa Fufuni, Suleiman Mohamed maarufu Mani Gamera au Govinda, baada ya kushuhudia kikosi chake kikiishia hatua ya makundi Kombe la Mapinduzi 2026. Fufuni iliyoshiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza, ilikuwa kundi B ikianza na sare ya 1-1 dhidi ya…