Simbu kushiriki Burji2Burji Half Marathon
MWANARIADHA wa Alphonce Simbu anatarajiwa kushiriki mbio za Burji2Burji Half Marathon zitakazofanyika Dubai, Februari 8, mwaka huu, akiwa miongoni mwa wanariadha maarufu wa kimataifa. Mbio hizo zitakuwa sehemu ya maandalizi yake kuelekea Boston Marathon mwezi Aprili zikimuwezesha kuendelea na ushindani wa kiwango cha juu. Simbu anaingia Dubai akiwa na hadhi ya bingwa wa dunia wa…