Mzazi fanya haya kila siku kuimarisha elimu ya Mtoto

Januari inapokaribia, wazazi wengi wanaamini kuwa kazi kubwa imeshamalizika baada ya kulipa ada na kununua sare mpya za shule Hata hivyo, siri ya mafanikio ya mtoto shuleni haipo kwenye ukuta wa madarasa pekee, bali kwenye mazingira yanayotengenezwa nyumbani kila siku. Ili mwanao afanye vizuri na “anyooke” kimasomo na kitabia, hapa kuna orodha ya mambo muhimu…

Read More

Watoto wetu wako salama mabwenini?

Mabweni. ambayo awali yalichukuliwa kama sehemu salama za kulea nidhamu, kuimarisha malezi ya pamoja na kuwezesha mtoto kupata muda wa kujisomea bila usumbufu wa majukumu ya nyumbani, sasa yanatazamwa kwa jicho tofauti.  Swali tunalojiuliza katika makala haya ni kama mabweni bado ni sehemu salama kwa watoto wetu.  Swali hili linazidi kuwa na uzito kila uchao kutokana…

Read More

Ngowi achaguliwa kuwa diwani Kirua Vunjo Magharibi

Moshi. Msimamizi msaidizi wa uchaguzi wa Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Daniel Maeda amemtangaza Heriel Ngowi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa diwani wa kata hiyo, baada ya kupata kura 3,536 za ‘Ndiyo’ kati ya kura 4,358 zilizopigwa.Uchaguzi huo umefanyika baada ya kusogezwa mbele kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea udiwani kupitia CCM, John Kessy, aliyefariki…

Read More

NAIBU WAZIRI WANU AIPONGEZA NM-AIST KWA USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (katikati) akimsikiliza Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia Professa Maulilio Kipanyula,(kulia) akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Bweno katika taasisi hiyo mara baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa kike yenye jumla…

Read More

URA: Mwakani tunakuja kubeba kombe

MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, timu ya URA, imekubali ushindani iliokutana nao msimu huu katika michuano hiyo imewapa funzo na kuahidi wakati ujao itaondoka na kombe. Hayo yamesemwa na kocha msaidizi wa kikosi hicho kutokea Uganda, Ssemuyaba Bashiru aliposema kundi A walilokuwepo halikuwa rahisi kutokana na kukutana na timu zenye ushindani, hivyo wanakwenda…

Read More