Mlandege tatizo wachezaji sio kocha

KOCHA msaidizi wa Mlandege, Sabri Ramadhan China amesema wachezaji wa kikosi hicho wameshindwa kuifanya kazi ipasavyo ndiyo sababu ya kuwa timu ya kwanza kuaga mashindano. Mlandege ambayo ni bingwa mtetezi wa Kombe la Mapinduzi, imeondoshwa kwa aibu kutokana na kupoteza mechi zote tatu za kundi A, ikifunga bao moja na kuruhusu nyavu zake kutikiswa mara…

Read More

Pacha mpya inasukwa Singida Black Stars

USAJILI wa mabeki wawili wa kati Singida Black Stars, Abdallah Salum Kheri ‘Sebo’ na Abdulmalik Zakaria umetajwa kuwa unakwenda kuimarisha zaidi eneo hilo baada ya kuonekana kuna shida. Katika kuimarisha eneo hilo, benchi la ufundi la Singida Black Stars, linaloongozwa kwa sasa na kocha David Ouma katika michuano ya Kombe la Mapinduzi, kuna kitu linafanya….

Read More

TFF, Gamondi waitana mezani | Mwanaspoti

BAADA ya kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 akiwa kama kocha wa mpito, Miguel Gamondi ameitwa haraka mezani kusaini mkataba wa kuinoa timu hiyo inayotarajiwa kurejea nchini leo na ikiandaliwa mapokezi makubwa ya kitaifa. Gamondi ameiongoza timu hiyo katika…

Read More

Ishu ya straika mpya, Pedro apewa rungu Yanga SC

KIKOSI cha Yanga kinashuka uwanjani usiku wa leo kumaliza na TRA United katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Pedro Goncalves akiachiwa rungu la kuamua straika gani mpya amshushe Jangwani kwa ajili ya kuongeza nguvu kikosini. Yanga imekuwa ikipiga hesabu za kushusha straika mpya wa kigeni, huku…

Read More

Camara awashtua mabosi Simba | Mwanaspoti

SIMBA ilikuwa katika presha moja kubwa ya kutakiwa kutafuta kipa mpya haraka baada ya makipa wawili wa kikosi hicho kuumia kila mmoja kwa wakati wake na kuelezwa wangekaa nje kwa muda mrefu, lakini ghafla Moussa Camara ‘Spiderman’, amefanya vitu vilivyowashtua mabosi na madaktari wa klabu hiyo. Alichofanya Camara ambaye naye alifanyiwa upasuaji wa goti kwa…

Read More

Yanga v TRA United ni mechi ya kisasi

HATUA ya makundi katika Kombe la Mapinduzi 2026, inahitimishwa leo kwa kupigwa mechi moja matata sana pale New Amaan Complex kuanzia saa 2:15 usiku ambapo itakuwa Yanga dhidi ya TRA United. Hii inakumbushia wanavyopeana ushindani wa Ligi Kuu Bara na sasa wanahamishia Kombe la Mapinduzi ikiwa ni mechi ya kundi C. Ni mechi ambayo imeshikilia…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa ana wasiwasi mkubwa juu ya ‘kuongezeka uwezekano wa ukosefu wa utulivu’ nchini Venezuela – Masuala ya Ulimwenguni

Katika taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Masuala ya Kisiasa Rosemary DiCarlo, António Guterres alisema Baraza lilikuwa linakutana “katika wakati mzito” kufuatia hatua ya kijeshi ya Januari 3 nchini Venezuela. Muhtasari mpana wa operesheni hiyo, ambayo ilifanyika katika Caracas na majimbo ya kaskazini ya Miranda, Aragua na La Guaira, imeripotiwa sana, ingawa kiwango cha…

Read More

Hizi hapa sababu mabasi kuikwepa Stendi Magufuli

Dar es Salaam. Suala la baadhi ya mabasi ya mikoani kukwepa kuingia Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Magufuli limekuwa mfupa mgumu huku wadau wa usafirishaji wakitaja sababu inayochangia. Wadau hao wametaja umbali wa stendi, mgongano wa kisheria na siasa kuwa ni miongoni mwa sababu za hali hiyo. Wadau hao…

Read More