WAZIRI KOMBO AITEMBELEA ZITF 2026 ZANZIBAR

::::::::::::: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Maonesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara Zanzibar (ZITF) 2026 yanayoendelea  katika Kituo cha Maonesho cha Zanzibar, Dimani. Maonesho hayo yalianza Disemba 29, 2025 yatamalizika Januari 16, 2026  ni maalum kwa ajili ya maadhimisho ya Miaka 62…

Read More

Kauli ya kwanza ya Maduro alipofikishwa mahakamani Marekani

New York. Aliyekuwa kiongozi wa Venezuela, Nicolas Maduro, amefikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza nchini Marekani pamoja na mkewe, Cilia Flores, huku akiendelea kusisitiza yeye bado Rais wa Venezuela. Maduro na mkewe asubuhi ya jana Jumatatu Januari 5, wamesafirishwa kwa helkopta kutoka eneo walilokuwa kizuizini umbali wa nusu kilomita hadi Manhattan ilipo Mahakama. Maduro na…

Read More

WAZIRI BASHIRU AKUNWA NA JITIHADA ZA MBUNGE CHATO KUSINI

………….. CHATO  WAZIRI wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Balozi Dkt. Bashiru Ally, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Chato kusini kufuatia mikakati mizuri ya kuwainua vijana kiuchumi kupitia sekta ya mifugo. Ni baada ya Mbunge huyo, kuahidi kutoa msaada wa ng’ombe 18 kwa vikundi vya vijana waliopo tayali kufuga kisasa kwaajili ya kuongeza uzalishaji wa…

Read More

NGURUWE ZALETA KERO KWA WAKAZI KONGOWE

Na Mwandishi Wetu, Kibaha MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Kibaha Dkt.Mawazo Nicas ametoa siku saba kwa mfugaji wa Nguruwe kujenga shimo kutiririsha maji na kinyesi cha wanyama hao wanaofugwa kwenye eneo la watu bila ya kuzingatia usafi wa mabanda yake. Hatua hiyo imekuja baada ya wananchi kutoa malalamiko yao kwamba wanapata kero ya harufu mbaya…

Read More

‘Nguvu ya sheria lazima itawale,’ anasema mkuu wa Umoja wa Mataifa – Global Issues

Picha ya Umoja wa Mataifa/Loey Felipe Mtazamo mpana wa mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Venezuela. Jumatatu, Januari 05, 2026 Habari za Umoja wa Mataifa Baraza la Usalama linakutana katika kikao cha dharura mjini New York kuzungumzia jinsi Marekani inavyomtolea Rais wa Venezuela Nicolás Maduro kutoka Caracas, hatua ambayo imeleta mshtuko…

Read More

Baraza la Usalama Lagawanyika Kuhusu Hatua ya Marekani ya Venezuela – Masuala ya Kimataifa

Baraza la Usalama lakutana kuhusu Vitisho kwa Amani na Usalama wa Kimataifa. Credit: UN Photo/Mark Garten na Cecilia Russell (Umoja wa Mataifa & johannesburg) Jumatatu, Januari 05, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA & JOHANNESBURG, Januari 5 (IPS) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres alionyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mustakabali wa haraka…

Read More