Delcy Rodriguez: Mwanamke aliyetwaa madaraka katikati ya dhoruba ya kimataifa
Katikati ya usiku mzito wa Januari 3, 2026, Venezuela iliingia katika ukurasa mpya wa historia yake, ukurasa ulioandikwa si kwa kura, bali kwa helikopta, makombora na operesheni ya kijeshi ya kimataifa. Nicolas Maduro, rais aliyeshikilia madaraka kwa mkono wa chuma alitekwa na kukamatwa na Marekani katika operesheni ya ghafla jijini Caracas. Ndani ya saa chache,…