WATUMISHI MKALAMA WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA OFISI NA UBADHIRIFU WA FEDHA UJENZI WA SHULE
Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida ambao ni Afisa Utumishi na Mhandisi wa Halmashauri hiyo wameelekezwa kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe….