Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha
Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha – Global Publishers Home Habari Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha
Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha – Global Publishers Home Habari Rais Samia Akabidhiwa Tuzo Tatu za Utalii Kimataifa – Picha
Dar es Salaam. Ili kutekeleza azma ya Serikali inayolenga kuwezesha matumizi ya tehama katika kujifunzia na kufundishia kuanzia ngazi ya shule za sekondari, walimu 606 kutoka mikoa yote ya Tanzania wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya siku tano ili wawe wabobezi katika eneo hilo. Ndani ya siku hizo, baadhi ya walimu watajifunza namna ya kutumia vishikwambi…
Nafasi ya ushindi hii hapa na wakali wa Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka dau lako kuanzia 5000 na ubashiri hapa. Meridianbet inaendelea kuwa kinara katika kutoa promosheni zenye thamani halisi kwa wachezaji wake. Kupitia kampeni yake mpya, kampuni hii inaleta fursa murua kwa mashabiki wa mpira kushiriki…
Dar es Salaam. Wawekezaji katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wameongeza utajiri wao kwa Sh6.12 trilioni mwaka 2025, baada ya mtaji kuongezeka kwa asilimia 34, kutoka Sh17.8trilioni Desemba 2024 hadi Sh23 trilioni Desemba 2025. Takwimu za soko zinaonesha kuwa Benki ya NMB Plc, KCB Group na CRDB Plc zilimaliza mwaka kama kampuni…
Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1 – Global Publishers Home Habari Dkt. Mwigulu Afungua Skuli ya Sekondari Chukwani, Yawekezwa Bilioni 6.1
Unguja. Wakati mazingira na miundombinu vikiboreshwa, Zanzibar imepanga kusajili miradi isiyopungua 150 ya uwekezaji kila mwaka kupitia Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA). Hayo yameelezwa leo, Januari 5, 2026, na Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, katika siku ya uwekezaji iliyoandaliwa kwenye maonyesho ya Zanzibar International Trade Fair (ZITF) yanayoendelea katika Viwanja vya…
KOCHA wa Dodoma Jiji, Aman Josiah amesema timu itafanya mazoezi kwa wiki moja, huku ikiangalia ni mkoa gani ikienda itapata mechi za kirafiki kwa urahisi kabla ya kurejea mechi za ligi. Ratiba inaonyesha Dodoma Jiji itakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons katika mechi itakayopigwa Januari 22, jambo ambalo kocha huyo amesisitiza wanahitaji kupata pointi tatu, hivyo…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 5, 2025 – Global Publishers Home Magazeti Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 5, 2025
Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, linamsaka Helakumi Kacheri kwa tuhuma za kumuua mkewe, Sofina Elipisini (27), mkazi wa Singisa, wakiwa shambani, huku chanzo kikidaiwa kuwa wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema mtuhumiwa alimuua mkewe kwa kumshambulia na silaha yenye makali sehemu mbalimbali za mwili, akimtuhumu kuendeleza uhusiano na…
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema kuwa suala la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini limeendelea kuwa kipaumbele,ambapo Wizara hiyo imefanya marekebisho ya kanuni ya Ushirikishwaji wa wazawa ya mwaka 2018 ambapo Tume ya Madini itatangaza kupitia kanuni ya 13A orodha ya bidhaa na huduma ambazo zinatakiwa kutolewa na…