Seleman Mgaza azichonganisha timu mbili Bara

MSHAMBULIAJI wa Zimamoto ya Zanzibar, Seleman Mgaza ameziingiza vitani timu mbili za maafande wa JKT Tanzania na KMC, ambazo zimeonyesha nia ya kumhitaji katika dirisha hili dogo, huku mazungumzo kati ya pande hizo yakiendelea. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata zinaeleza Mgaza ambaye katika dirisha lililopita alikuwa akihitajika na Geita Gold na TRA United (zamani Tabora United),…

Read More

Waluguru kufanya tambiko la wahenga Morogoro

Morogoro. Mtawala wa kimila wa Waluguru Manispaa ya Morogoro, Chifu Lukwele wa Nne (Mdimang’mbe), amesema wanajiandaa kufanya tambiko la jadi kwenye makaburi ya waanzilishi wa mji huo, lenye lengo la kuwakumbuka, kuimarisha mshikamano wa kijamii na kuliombea taifa amani. Tambiko hilo, linalotarajiwa kufanyika Januari 11, 2026, ni sehemu ya juhudi za kulinda historia na kuhuisha…

Read More

ATAFUTUTWA KWA MAUAJI YA MKEWE MOROGORO

Helakumi  Kacheri mkazi wa kitongoji cha Tindegela Kata ya Singisa Wilaya ya Morogoro anatafutwa na jeshi la polisi Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake kwa kutumia kitu chenye ncha kali.  Kwa mujjibu wa Kamanda wa polisi mkoani hapa SACP Alex Mkama tukio hilo limetokea Januari 4 majira ya mchana wakati wawili hao wakiwa…

Read More

Kikwete aridhishwa na miradi ya maendeleo Pemba

Pemba. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kisiwani Pemba hatua iliyoimarisha utoaji wa huduma za kijamii, kukuza uchumi na kuongeza kipato cha wananchi. Kikwete amesema hayo leo Jumatatu, Januari 5, 2026, alipozungumza na wananchi baada ya kuzindua Ofisi ya Uhamiaji Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. Uzinduzi huo ni miongoni…

Read More

Mradi wa EACOP wafikia asilimia 79, kukamilika Julai 2026

Dar es Salaam. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga (EACOP) umefikia asilimia 79 na utakamilika Julai 2026. Kukamilika kwa mradi huo ni baada ya takribani miaka 10 ya utekelezaji wake unaohusisha ujenzi wa bomba la inchi…

Read More