Chukwu, Yakoub hawashikiki Mapinduzi Cup
KABLA ya jana jioni Yanga haijacheza dhidi ya KVZ, kuna mastaa wawili katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 walikuwa wamefunika kwa kubeba tuzo nyingi. Mastaa hao ni Morice Chukwu wa Singida Black Stars na Yakoub Said Mohamed ambao katika mechi za hatua ya makundi, kila mmoja amebeba tuzo mbili. Chukwu ambaye anacheza eneo la…