Stars yatolewa kwa mbinde Afcon 2025

RABAT, MOROCCO: HATUWADAI wanetu. Walisikika mashabiki wa Taifa Stars jijini Dar es Salaam usiku wa Jumapili baada ya kuishuhudia timu yao ya soka ikitupwa nje ya mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa mbinde kwa kufunga bao 1-0 na wenyeji Morocco huko jijini Rabat. Tanzania chini ya kocha Miguel Gamondi ilicheza kwa…

Read More

Madarasa ya mitihani yalivyo mzigo kwa wazazi

Dar es Salaam. Kila saa 11:30 alfajiri, Nicodemas Massawe huwa tayari barabarani. Si kwa sababu ya kazi, bali ni safari ya kuwapeleka watoto wake shuleni ili wafike kwa wakati. Inamlazimu kufanya hivyo, kwa sababu mtoto mmoja ni mwanafunzi wa darasa la mtihani, anayelazimika kufika shuleni haraka na mapema zaidi ya wengine. Hatua hiyo, imebadili ratiba…

Read More

Mwanengo aanza na mguu mzuri Yanga ikiichapa KVZ

MSHAMBULIAJI Emmanuel Mwanengo, ameanza na mguu mzuri ndani ya Yanga baada ya kuwa sehemu ya mchango wa ushindi wa mabao 3-0 ilioupata timu hiyo dhidi ya KVZ. Yanga imepata ushindi huo katika mechi yake ya kwanza kundi C kunako Kombe la Mapinduzi 2026 iliyochezwa leo Januari 4, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja….

Read More

Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha

Na Pamela Mollel,Arusha Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa taka, hatua inayolenga kuhakikisha Jiji la Arusha linabaki safi, lenye afya na tayari kukaribisha biashara na watalii. Akizungumza wakati wa muendelezo wa zoezi la “Ng’arisha Jiji la Arusha” lililofanyika katika Soko la…

Read More