Tuwaelewe Simba wameamua kuanza upya

SIMBA imeshusha nyota takribani saba wa kigeni katika dirisha hili dogo la usajili huku ikifungulia milango wengine kwa kuwaondoa katika kikosi chake na baadhi bado ipo nao lakini haitowatumia hadi msimu utakapomalizika. Ni nadra sana kwa timu kufanya usajili wa idadi kubwa hivyo ya wachezaji katika dirisha dogo, lakini Simba yenyewe imeamua kutoangalia historia ikoje…

Read More

Masharti mapya ya mikopo ya asilimia 10, Nida yatatajwa

Dodoma. Serikali imetangaza kulegeza masharti ya utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu, lakini sharti kuu ni lazima iwalenge Watanzania, ikiwemo kuwa na Kitambulisho cha Taifa (Nida). Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi, Januari 29, 2026, na Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo bungeni, kama…

Read More

Mbetie mchezaji – Mfumo wa mafanikio wa AfroPari

Uaminifu ndio msingi wa ubashiri wenye mafanikio na kigezo muhimu ni katika kuchagua kampuni ya ubashiri. Kila mcheza kamari anataka jukwaa lililo wazi linalohakikisha malipo ya matokeo ya mikeka iliyotiki kwa haki, kulinda taarifa binafsi, na kulipa kwa wakati na haraka. Waendeshaji wengi wa kampuni za kubeti hujaribu kukidhi mahitaji ya wapenzi wa michezo ya…

Read More

TADB yatenga Sh160 bilioni kupunguza upotevu wa mazao

Dar es Salaam. Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) imetenga Sh160 bilioni kuthibiti upotevu wa mazao baada ya kuvunwa, ikipanga kujenga maghala ya mpunga na mahindi. Kwa mujibu wa Wizara ya Kilimo, wakulima wa Tanzania wanapoteza hadi asilimia 45 ya mazao yao kabla hayajafika kwa mtumiaji wa mwisho. Licha ya sekta ya kilimo kuajiri zaidi ya…

Read More

Serikali yaeleza mkakati kudhibiti homa ya ini Kigoma

Dodoma. Serikali inaendelea kutekeleza mpango maalum wa kutoa elimu na kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini kwa wananchi wa Mkoa wa Kigoma, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuzuia maambukizi mapya na kuongeza uelewa wa jamii kuhusu kinga, upimaji na matibabu ya ugonjwa huo. Maelezo hayo yametolewa bungeni leo Alhamisi, Januari 29, 2026…

Read More

MKURUGENZI MOSHI ATAKA MOTISHA KWA WALIMU, WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MITIHANI YA TAIFA.

MOSHI. MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Shadrack Mhagama, amesisitiza umuhimu wa motisha kwa shule, walimu na wanafunzi wanaofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa kama njia ya kuinua ubora wa elimu na kuhamasisha ushindani chanya. Mhagama alitoa kauli hiyo wakati wa mkutano wa kawaida wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa mikutano…

Read More

KUELEKEA UFUNGUZI WA SOKO: SHIRIKA LA MASOKO LAWEZESHA SHUGHULI ZA ZIMAMOTO NA UKOAJI KATIKA ENEO LA KARIAKOO.

Shirika la Masoko ya Kariakoo, katika kuimarisha shughuli za zimamoto na ukoaji katika maeneo ya Kariakoo limelipatia Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kizimamoto Ilala Ofisi na eneo la kuegesha gari lao kwa ajili ya shughuli zao ili kupunguza usumbufu kwa wananchi wa maeneo hayo wakati majanga ya moto yanapojitokeza. Hayo yamesemwa na Meneja…

Read More

Dawasa yaeleza changamoto, utatuzi wa majitaka Kariakoo

Dar es Salaam. Ujenzi wa maghorofa, hasa unaofanyika usiku bila usimamizi wa kitaalamu, pamoja na biashara ya vyakula umechangia kwa kiasi kikubwa changamoto za majitaka maeneo ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam. Wamiliki wa majengo na baadhi ya wataalamu wa ujenzi hupeleka michoro ya majengo iliyo sahihi, lakini hubadilisha miundombinu ya majitaka na maji ya…

Read More