Sakata la Yona lachukua sura mpya, achukuwa uamuzi
WAKATI tetesi za usajili za kunyemelewa na vigogo Simba na Yanga zikizidi kushika kasi, kipa tegemeo wa Pamba Jiji, Yona Amosi inadaiwa hajaripoti kambini jijini Mwanza ambako timu hiyo inaendelea na mazoezi. Pamba ilirejea kambini tangu Desemba 29, mwaka jana ikijifua kwenye Uwanja wa Nyamagana ikijiandaa na ngwe nyingine ya Ligi Kuu Bara inayorejea upya…