Simba yagoma kumuachia kiungo | Mwanaspoti
WAKATI taarifa zikienea kuhusu kuondoka kwa mmoja kati ya viungo wa Simba mambo yamebadilika ghafla, huku mabosi wakitaka abaki hadi mwishoni mwa msimu huu. Simba imekuwa na wakati mgumu msimu huu ikiwa imeshapoteza michezo miwili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini ikipoteza pia mechi moja ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam baada ya kucheza…