Ungependa kukutana na nani mwanzo wa mwaka
Bwana Yesu asifiwe! Ni matumaini yangu mmeupokea Mwaka Mpya wa 2026 kwa amani na utulivu na neema ya Mungu ikae nawe msomaji wangu kwa mwaka mzima kila hatua uso wa Mungu uwe nawe. Mwanzo wa mwaka mpya huja na matarajio mapya, maamuzi mapya na ndoto mpya. Watu wengi hujiuliza: Nitakutana na nini mwaka huu? Nitapata…