Chadema yaalika Watanzania kudai haki, uhuru na Katiba bila hofu
Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika salamu za mwaka mpya 2026, kimetaka kuachiwa huru bila masharti Mwenyekiti wake, Tundu Lissu. Mbali ya hayo, kinataka mageuzi ya kimfumo, Tume Huru ya Uchaguzi, Katiba mpya, uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu matukio ya mauaji na utekaji, pamoja na kufutwa kesi ya kusitisha shughuli za…