Trump aishambulia Venezuela, Rais Maduro na mkewe waondolewa nchini
New York. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kuwa ameamuru jeshi la nchi hiyo kutekeleza shambulio kubwa la kijeshi nchini Venezuela na kwamba Rais Nicolas Maduro, pamoja na mkewe, wamekamatwa na kuondolewa nchini humo. Kauli hiyo, iliyotolewa mapema Jumamosi kupitia mtandao wa kijamii wa Truth Social, imezua taharuki na mvutano wa kisiasa na kiusalama katika…