DKT. JINGU ATAKA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII KUWAFIKIA WANANCHI

………  📌 AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA MAENDELEO YA JAMII SINGIDA. Na Abdala Sifi WMJJWM- Singida  Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu amewataka Maafisa Maendeleo ya Jamii kuhakikisha wanawafikia wananchi kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali na kuharakisha maendeleo ya wananchi.  Dkt Jingu amesema hayo tarehe…

Read More

TRA Tanga yavuka lengo la makusanyo kwa asilimia 139

Tanga. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imevuka lengo la makusanyo ya kodi kwa asilimia 139 baada ya kukusanya Sh252.8 bilioni katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026, kuanzia Julai hadi Desemba 2025. Kiasi hicho ni zaidi ya lengo la Sh181.9 bilioni walilopangiwa kukusanya katika kipindi hicho. Kauli…

Read More

ZRA yavuka lengo la makusanyo Desemba, sababu zatajwa

Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imefanikiwa kuvuka lengo la makusanyo ya mapato kwa Desemba 2025 baada ya kukusanya Sh90.873 bilioni kati ya Sh90.524 bilioni iliyokadiriwa, sawa na ufanisi wa asilimia 100.39. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Januari 2, 2026 na Mkuu wa Kitengo cha Habari, Uhusiano na Huduma kwa Wateja…

Read More

Uharibifu SGR waibua maswali | Mwananchi

Dar/Dodoma. Wakati baadhi ya wananchi wakikosoa usanifu na ujenzi wa mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) baada ya kusimama kwa huduma kutokana na athari za mvua, Shirika la Reli Tanzania (TRC), limesema sababu za kusimamishwa hazihusiani na kasoro zinazotajwa. Akizungumza na Mwananchi Januari 2, 2026, Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Machibya Masanja, amesema kilichotokea ni kumomonyoka…

Read More

Ondoka na Mkwanja Mrefu Ndani ya Meridianbet

Siku ya leo mechi kibao za pesa zinaendelea  ndani ya Meridianbet huku wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia hivi mtafutaji hachoki, yaani ni mwendo wa kusaka ODDS KUBWA tuu na kubashiri. Ingia kwenye akaunti yako sasa na ubashiri leo. SERIE A kule Italia mechi zinaendelea leo ambapo Como 1907 atamenyana dhidi ya Udinese Calcio ambao wanashika…

Read More