Uteuzi wa kamati waivuruga Chadema Kanda ya Nyasa

Dar es Salaam. Uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa umeibua mvutano miongoni mwa viongozi wa kanda hiyo. Januari Mosi, 2026, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi alifanya uteuzi wa makatibu na wenyeviti wa kamati za kudumu za kanda hiyo, jambo…

Read More

Mambo magumu kwa mchungaji Malisa, afunguliwa kesi nyingine

Dar es Salaam. Wakati kesi ya uhaini inayomkabili mchungaji Godfrey Malisa ikipangwa kutajwa tena Januari 16,2025, imebainika kuwa upande wa Jamhuri imemfungulia kesi nyingine ya Jinai inayohusiana na makosa ya kimtandao. Kesi ya uhaini namba 000028333 ya 2025 ilitajwa jana Januari 2,2025 mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi Ally Mkama wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi lakini…

Read More

Mlandege yaivaa Azam bila kupiga tizi

JANA Ijumaa, ilipigwa mechi moja ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja mabingwa watetezi Mlandege dhidi ya Azam, lakini kuna kitu kilitokea kabla ya mechi hiyo iliyoanza saa 2:15 usiku. Mlandege iliyopoteza mechi mbili za kwanza ilifungwa 3-1 na Singida Black Stars kisha ikalamba 1-0 na URA, imekuwa ya kwanza…

Read More

Mechi za uamuzi Mapinduzi Cup 2026

LEO Jumamosi kuna mechi mbili za Kombe la Mapinduzi 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja ambazo zimebeba matokeo ya kuamua jambo baina ya timu zinazokwenda kukutana. Saa 10:15 jioni, Singida Black Stars yenye pointi nne, itacheza dhidi ya URA iliyokusanya pointi tatu, ikiwa ni mechi ya Kundi A. Mechi hii endapo Singida Black…

Read More

Ahoua akisepa Simba, mrithi wake ni huyu

KIKOSI cha Simba usiku wa leo kipo uwanjani kupepetana na Muembe Makumbi katika pambano la kwanza la Kundi B la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku mabosi wa klabu hiyo wakiwa bize kusaka mashine mpya zitakazoimarisha timu hiyo hasa baada ya kuwepo kwa tetesi za Jean Charles Ahoua kujiandaa kusepa Msimbazi. Mfungaji huyo bora…

Read More