WIKIENDI YA MOTO: KenGold, Kagera Sugar patachimbika!
RAUNDI ya 13 ya Ligi ya Championship inaendelea tena wikiendi hii kwa mechi kali na za kuvutia, ambapo macho na masikio ya wapenzi wa soka nchini yataelekezwa katika mechi ya kesho Jumapili kati ya wenyeji, KenGold na Kagera Sugar. Mechi hiyo inasubiriwa kwa hamu kutokana na timu zote mbili kushuka daraja msimu wa 2024-2025, zikitokea…