TADB yafikia amana ya Sh. trilioni 1.3
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeendelea kuimarisha uwezo wake wa kifedha baada ya amana zake kuongezeka na kufikia shilingi trilioni 1.3, hatua inayotokana na mafanikio ya utoaji mikopo katika mnyororo wa thamani wa sekta ya kilimo.Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 29, 2026, Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Fedha wa benki…